SOMO LA ARDHI, SEHEMU YA KWANZA
HAPA CHINI▼▼
HAPA CHINI▼▼
SOMO: KUMBEA ARDHI
SABABU YA KWANZA
SOMA: MWANZO 3:17-19
Akamwambia Adamu,Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako
,ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza,
nikisema,Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula
mazao yake siku zote za maisha yako;
Michongoma na miiba itakuzalia , nawe utakula mboga za
kondeni; Kwa jasho la uso wako utakula
chakula, hata utakapoirudia ardhi ,ambayo katika hiyo ulitwaliwa ;kwamaana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.Biblia
inasema “Ardhi imelaaniwa kwa ajili yako “ … Neno laana maana
yake…..kutokustawi, kutokufanikiwa, kutokufurahi,kutokufikia kiwango cha
mafanikio Mungu alicho kikusudia kwa
ajili ya maisha yako.
Ardhi imepata shida kwa sababu ya laana iliyobebwa na mtu.
SABABU YA PILI
SOMA: MWANZO 4:11-12
Basi sasa umelaaniwa
wewe katika ardhi , iliyofumbua kichwa chake ipokee damu ya ndugu yako
kwa mkono wako
Utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake ; utakuwa mtoro na
mtu asiye na kikoa duniani.
Hi ni tofauti na ile sura ya tatu..surs ys tatu laana iko
ndani ya Adamu sura ya nne laana ipo ndani ya Ardhi …maana yake kila atakaye
kanyanga ardhi laana itatoka chini na kumfuata
Huwezi kutulia mahali,unajaribu kujenga hapa pana kataa
unajaribu kukaa hapa panakataa lakini haujajua ya kwamba unapata shida kwa sababu ya shida iliyopo kwenye
ardhi…uharibifu uliotokea kwenye ardhi unakufanya kutotulia …Biblia isinge semesha masuala haya
ingekua shida sana
Kuna tofauti ya kuombea ardhi ( kuna laana iliyopo ndani ya
ardhi na na laana iliyopo kwa mtu
anayetumia ardhi)
SABABU YA TATU
SOMA: 2 NYAKATI 7:12-14
Bwana akamtokaea Sulemani usiku, akamwambia , nimesikis
ulivyo omba na mahalia hapa nimejichagulia kuwa nyumba yangu ya dhabihu .
Nikizifunga mbingu isiwe mvua , tena nikiamuru nzige kula
nchi au nikiwapelekea watu wangu tauni;
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenekesha
na kuomba na kunitafuta uso na kuziacha njia zao mbaya basi nitasikia kutoka mbinguni nan a
kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao
Ndio maaana kweny Biblia familia inaweza kuwa taifa ..na
watu wengi sana wengi sana wanapotaka kuliombea taifa …
Haizungumzii juu ya
uponyaji wa watu bali uponyaji wa ardhi amabayo watu wanakaa.
SABABU YA NNE
SOMA: YEREMIA 22:29-30
Ee nchi, nchi, nchi, lisikie neon la Bwana
Bwana asema hivi, Andikeni habri za mtu huyu kwamba hana
watoto , kwamba mtu huyu hatafanikiwa siku zote ; maana hapana mtu katika uzao
wake akiketi katika kiti cha enzi cha Daudi na kutawala tena katika Yuda.
Unaombaje wakati ardhi imepewa amri na agizo kwamba ;
Hautafanikiwa wewe wala watoto wako.Huyu ni Mungu anazungumza nan chi
(ardhi)……Maana yake ardhi au udongo unaweza kutunza kumbukumbu….inaweza
kufuatilia kumbukumbu zilizopo ndani.
Wakati adhabu inatolewa kwa mtu huyu alikuwa bado hana
watoto , kwa hiyo kumbukumbu kwenye ardhi ni kwamba ni kwamba hana moto na kumbukumbu zina sema
kwamba hata atakapopata watoto hata fanikiwa .
Adhabu ilitolewa kwa sababu gani; cheki ule mstari wa 21
…..huyu mtu alifanikiwa mwazoni lakini kutokana na kutotii sauti ya Mungu ;
Mungu akasema its ok ngoja niondoe hayo mafanikioa na ardhi inisaidie kuweka kumbukumbu kwa
sababu huyu jamaa yupo duniani
atakanyanga ardhi tu na ardhi ishaandika hana motto na atakapoppata
watoto hatawatafanikiwa maisha yao yote.
Fikiria wewe ni motto na umeingia kwenye adhabu ya baba au
mama na unatafuta kufanikiwa na haufaninikiwi
sio kwamba akili huna no unazo lakini umezuiliwa kufanikiwa je
unaombaje?
SABABU YA TANO
SOMA: MWANZO 28: 10-20
10 Yakobo akatoka
Beer-sheba , kwenda harani 11 Akafika mahali Fulani akalala huko usiku
kucha , maana jua lilikuwa limekuchwa
,akatwaa jiwe moja la mahali pale
akaliweka chini ya kichwa chake , akalala usingizi palapale 12 Akaota
ndoto, na tazama ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni
.Tena tazama malaika wanapanda na
kushuaka juu ya yake 13 Na tazama Bwana amesimama juu yake , akasema
mimi ni Bwana, Mungu wa Ibrahim baba yako na Mungu wa Isaka , nch hii uilalayo
ntakupa wewe na uzao wako
Alipo lala ardhi na roho ya umiliki ya mahali pale ikaamua kumtembelea na kugusa maisha yake
jumla , Mungu alijifunua kwake.
Na watu wengi sana wanapata shida au wanakwama kutegemeana
na roho ya mahali wanapo lala. Ndio maana usipojua namna ya y kujikung’uta
utapata shida sana na kitu ambacho unaweza kuwa umekutana nacho either kwenye
hotel.. kikakutesa maisha yako jumla.
Nimeona wengine wamekuwa wakiteseka kutokana na mahali
walipo lala wakiwa shuleni(bording)
Piawatumishi wengine
wakienda kwenye huduma mahali
wakatokewa na nuru wanafikiri ni Mungu na maisha yake ya huduma yana badilika
completely na na maana yake hakujua
namna ya kuomba ,,,, alijiombea yeye akasahau ardhi ya mahali alipolala na
hakuna mtu aliyemfundisha kuomba kwa stail hiyo.
•
SABABU YA SITA
SOMA: 2 SAMWELI 21:1
Kulikuwa na njaa siku za daudi muda wa miaka mitatu , mwaka hadi mwaka naye Daudi akautafuta uso wa Bwana , Bwana akasema
ni kwa ajili ya Saul, na nyumba yake yenye damu
kwa kuwa aliwaua hao wagibeoni.
Usishangae sana kuona hali ya njaa ukasema hii haihusiani na hali ya kiroho ya
ardhi.
Ukisoma ule mstari wa 14.. unaona Mungu anaiponya ardhi ;
Kwa hiyo Mungu alikuwa anaponya ili kumsaidia daudi kwenye
kipindi chake ambapo kulikuwa na njaa kusiwe na njaa na kuwe na chakula ….
Biblia inasema ….. alipata kibali ikaachiliwa Baraka, Baraka iliondolewa
makusudi kabisa
Usishangae sana Daudi alikaa na upako lakini njaa ilikuwepo
kwanini? Kwa sababu alishindwa kuunganisha shida ya njaa na tatizo la
ardhi. Hadi pale Mungu alipomwonesha .
Biblia inasema akatafuta uso wa Bwana kutaka kujua chanzo.
SABABU YA SABA
SOMA: UFUNUO 12:12- 15
Kwa hiyo shangilieni; enyi mbigu ,nanyi mkaao humo ole wan
chi na bahari ! kwa maana Yule ameshuka kwenu kwenye ghadhabu nyingi akijua ya
kuwa ana mda mchache tu
Na Yule joka alipoona ametupwa katika nchi alimwudhi
mwanamke Yule aliyezaa mtoto mwanaume
Mwanamke Yule akapewa mabawa mawili ya tai Yule mkubwa ili
aruke aende zake nyikani , hata mahali pake, hapo alishwapo kwa wakati na
nyakati na nusu ya wakati mbali na nyoka huyo,
Nyoka akatoa katika kinywa chakenyuma ya huyo mwanamke maji
kama moto amfanye kuchukuliwa na mto ule.
SABABU YA NANE
SOMA: YOELI 7:9-13
Utaombaje ikiwa hali ya kiroho ya ardhi imesababisha sadaka
zizuiliwe kutolewa kanisani.
Wachungaji wapo kanisani wao wanamwomba Mungu awasaidie watu watoe sadaka sawasawa Mungu ana sema hapana shida sio kutoa sadaka
sawasawa sadaka zilikuz zinakuja ni mimi niliyezizuia … badala ya kuombea wakristo ombea hali ya
ardhi ya nyumbani kwao ..ikishapona ardhi swala la kutoa sadaka litakuwa rahisi
sana
SABABU YA TISA
SOMA: KUMBUKUMBU LA TORATI 8 7-12
Nilitaka uone lile neno kujenga nyumba nzuri na kukaa ndani
yake ina mahusiano na Baraka za Mungu
juu ya watu walioingizwa kwenye nchi au
kwenye mipaka halali ya umiliki
Ndio maana kati ya adhabu mojawapo inaifikia nchi ni miji
kubomolewa au kukosa wakazi, kuwa ukiwa , kuwa mahame;…….laana aliyoilaani Yesu
miji ya Bethsaida katiaka nchi ya Israeli tumepita kule ni magofu mpaka leo.
Biblia inazungumza Mungu
akirudia eneo anawapa na uwezo watu wliorudi kujenga pale kwa upya ,
wanajenga na wana kaa nadni yake . Na wale ambao Mungu aliwabbarikia na
wakajenga halafu wakamkorofisha Mungu,
Biblia inasema watajenga na wasikae ndani.
inaendelea>>>>>>
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼
0 coment�rios: