7. BAADA YA KUMALIZA MAOMBI

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


7. BAADA YA KUMALIZA MAOMBI
Umalizapo maombi, tenga muda wa kutulia nyumbani kwako. Epuka haya yafuatayo;
i. Epuka kwenda kukaa kijiweni.
Ii. Epuka maongezi ya kipuuzi yasiyokuwa na maana.
Iii. Epuka kuongea kwa makelele sana, bali uwe mtulivu.
Iv. Epuka vijiwe vya umbea na masengenyo, maana yanapunguza; utukufu na nguvu.
V. Epuka kuangali vipindi vya runinga kama filamu au tamthilia zenye matukio ya kuhuzunisha, au kusikitisha au ya aibu.
Vi. Epuka kukaa maeneo yenye makelele.
Vii. Kama wewe ni mchungaji, askofu au kiongozi wa huduma fulani; tulia nyumbani kwako siku3, siku ya jumapili usihubiri wewe, bali mwachie mwingine ahubiri madhabahuni. Maana baada ya maombi malaika wataendelea kukuhudumia, huku wakikujenga utu wa ndani, wakikukarabati utu wa ndani kama watakavyokuwa wameelekezwa na mungu, hii ni pamoja na kukuvika silaha za mbinguni, vipawa na karama na kukuumba utu wa ndani. (mt 4:1-11).

Viii. Aidha jitenge na marafiki wapagani na wasiomcha mungu, mapema tu baada ya kumaliza maombi. Bali ambatana na wale walio jaa nguvu za mungu na wanao maanisha katika utumishi na maombi. Luka 9:28-32.

8. FAIDA ZA KIROHO ZA MAOMBI
i. Maombi ni silaha.
Ii. Maombi ni nguvu.
Iii. Maombi ni ulinzi.
Iv. Maombi ni dawa.
V. Maombi ni afya.

9. UPENYO WA MAOMBI KATIKA KUVUNJA LAANA NA ASILI ZINAZOWATESA WATU.
Zifuatazo ni aina 8 za asili zinazo watesa wanadamu katika sura ya laana, ambazo, kwa njia ya maombi ya ukombozi, na kwa msaada wa uongozi wa roho mtakatifu, 1kor 2:10-14, tunafanikiwa kuponyeka na kuwekwa huru kwa jina la yesu kristo wa nazareth.
Kama kiongozi wako wa; taifa, mkoa, wilaya, kanisa, msikiti, kampuni, shirika, kabila au ukoo anasumbuliwa na asili hizi mbaya, atawasumbua sana. Na nivigumu kutoboza au kustawi kiuchumi, kijamii kiroho na kiutumishi. Tafakari mafundisho haya ili upate maarifa, halafu uyafanyie kazi kuanzia leo kwa faida yako wewe , familia yako na yenu, jamii nzima na kanisa unalolichunga na kulisimamia.
Ukichunguza kwa makini, utagundua, asili hizi mbaya, ndio chanzo cha ufisadi, wizi na rushwa , hapa tanzania na duniani mwote.

ASILI HIZI ZINASUMBUA TAKRIBANI DUNIA NZIMA NA WALE WAKAAO KATIKA USO WA NCHI KUPITIA MAAENEO HAYA YAFUATAYO;
i. Asili na laana ya utaifa.
Ii. Asili na laana ya ukabila.
Iii. Asili inayotokana na namna ulivyo zaliwa.
Iv. Asili na laana inayotokana na siku au tarehe uliyozaliwa.
V. Asili inayotokana na madhabahu za kishetani za ukoo.
Vi. Asili na laana inayotokana na tabia sugu na mbaya ya kifamilia.
Vii. Asili inayotokana na maneno uliyotamkiwa ukiwa tumboni.
Viii. Asili inayotokana na mapito uliyopitia.

I. ASILI INAYOTOKANA NA UTAIFA
ezekiel 16:3 “useme bwana mungu auambia yeerusalemu hivi;asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka katika nchi ya mkanaani, mwamori alikuwa baba yako, na mama yako alikuwa mhiti”
kama nchi imefanya uovu fulani, laana inaingia hadi ardhini. Ukizaliwa hapo laana inakutafuna. Ezekiel 22:3-4, “ nawe utasema bwana mungu asema mji umwagao damu ndani yake, ili wakati wake upate kuja, mji ufanyao vinyago juu ya nafsi yake ili ujitie unajisi, umekuwa na hatia ktk damu yako uliyoimwaga, nawe umekuwa unajisi kwa vinyago vyako ulivyovifanyanawe umezileeta karibu siku zako, nawe umefika karibu na miaka yako, basi kwa sababu ya hayo nimekufanya kuwa lawama, kwa mataifa na kuwa dhihaka ktk nchi zote”
kila taifa hapa duniani lina wakilishwa na alama ya mnyama. Mfano; tanzania alama ya mnyama wake ni twiga. Mnyama huyu anashingo ndefu anaona mbali
KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 coment�rios: