AINA ZA MAJIBU YA MAOMBI
HAPA CHINI▼▼
HAPA CHINI▼▼
AINA ZA
MAJIBU YA MAOMBI
i. Niko
pamoja na wewe- ayubu.
Ii.
Nitakusaidia- yesu kristo.
Iii.
Nitakupigania- mfalme daudi. (hili ndilo jibu zuri).
Isa 41:8-13,
zab 35:1-9.
7. BAADA YA
KUMALIZA MAOMBI
Umalizapo
maombi, tenga muda wa kutulia nyumbani kwako. Epuka haya yafuatayo;
i. Epuka
kwenda kukaa kijiweni.
Ii. Epuka
maongezi ya kipuuzi yasiyokuwa na maana.
Iii. Epuka
kuongea kwa makelele sana, bali uwe mtulivu.
Iv. Epuka
vijiwe vya umbea na masengenyo, maana yanapunguza; utukufu na nguvu.
V. Epuka
kuangali vipindi vya runinga kama filamu au tamthilia zenye matukio ya
kuhuzunisha, au kusikitisha au ya aibu.
Vi. Epuka
kukaa maeneo yenye makelele.
Vii. Kama
wewe ni mchungaji, askofu au kiongozi wa huduma fulani; tulia nyumbani kwako
siku3, siku ya jumapili usihubiri wewe, bali mwachie mwingine ahubiri
madhabahuni. Maana baada ya maombi malaika wataendelea kukuhudumia, huku
wakikujenga utu wa ndani, wakikukarabati utu wa ndani kama watakavyokuwa
wameelekezwa na mungu, hii ni pamoja na kukuvika silaha za mbinguni, vipawa na
karama na kukuumba utu wa ndani. (mt 4:1-11).
Viii. Aidha
jitenge na marafiki wapagani na wasiomcha mungu, mapema tu baada ya kumaliza
maombi. Bali ambatana na wale walio jaa nguvu za mungu na wanao maanisha katika
utumishi na maombi. Luka 9:28-32.
8. FAIDA ZA
KIROHO ZA MAOMBI
i. Maombi ni
silaha.
Ii. Maombi
ni nguvu.
Iii. Maombi
ni ulinzi.
Iv. Maombi
ni dawa.
V. Maombi ni
afya.
9. UPENYO WA
MAOMBI KATIKA KUVUNJA LAANA NA ASILI ZINAZOWATESA WATU.
Zifuatazo ni
aina 8 za asili zinazo watesa wanadamu katika sura ya laana, ambazo, kwa njia
ya maombi ya ukombozi, na kwa msaada wa uongozi wa roho mtakatifu, 1kor
2:10-14, tunafanikiwa kuponyeka na kuwekwa huru kwa jina la yesu kristo wa
nazareth.
Kama
kiongozi wako wa; taifa, mkoa, wilaya, kanisa, msikiti, kampuni, shirika,
kabila au ukoo anasumbuliwa na asili hizi mbaya, atawasumbua sana. Na nivigumu
kutoboza au kustawi kiuchumi, kijamii kiroho na kiutumishi. Tafakari mafundisho
haya ili upate maarifa, halafu uyafanyie kazi kuanzia leo kwa faida yako wewe ,
familia yako na yenu, jamii nzima na kanisa unalolichunga na kulisimamia.
Ukichunguza
kwa makini, utagundua, asili hizi mbaya, ndio chanzo cha ufisadi, wizi na
rushwa , hapa tanzania na duniani mwote.
MWINJILIST:
LAURENT E. MPOMA
kanisa
la "PENTECOSTAL CHRISTIAN CENTER- MISUNA -SINGIDA MJINI
MAWASILIANO:
+22763652898
TUMA
MAHITAJI HAPA: nguvuyamungu@gmail.com
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼
0 coment�rios: