SOMO KUHUSU MAOMBI: LINAENDELEA HAPA: MAANDALIZI YA MAOMBI
HAPA CHINI▼▼
HAPA CHINI▼▼
MAANDALIZI
YA MAOMBI; KUT 19:7-20
Kabla
haujaingia katika maombi ya muda mrefu au siku kadhaa, zingatia yafuatayo;
i. Andaa
chumba utakachofanyia maombi.
Ii. Fanya
usafi katika chumba hicho utakachofanyia maombi.
Iii. Na wewe
binafsi uwe msafi, yaani uoge vizuri.
Iv. Vaa nguo
safi kila asubuhi, baada ya kuoga.
V. Uwe na
biblia , daftari na kalamu.
Vi.
Unapoingia ili kuanza maombi, jitakase kwanza kwa damu ya yesu kristo wa
nazareth.
Vii. Takasa
chumba unamofanyia maombi.
Viii. Imba
nyimbo kadha.
Ix. Fungua
mbingu.
X. Mwangushe
mfalme wa giza wa anga.
Xi.
Karibisha malaika wa maombi, ulinzi, nguvu, vita na wa enzi ya mungu baba.
Xii. Mtukuze
mungu baba, mwana na roho mtakatifu.
Xiii. Panga
mahitaji ya kuombea kwa kuzingatia sheria za ufalme wa mbinguni, na ulimwengu
wa roho.
Xiv.
Hakikisha simu yako uwe umeizima siku zote za maombi.
Xv. Baada ya
kupeleka mahitaji yako, tenga muda wa kutafakari neno kwa kujisomea biblia.
Xvi. Tenga
muda tena wa kutulia ili usubirie majibu ya maombi yako.
4. NJIA
ANAZOTUMIA MUNGU KUKUJIBU MAOMBI
i. Njozi.
Dan2:27.
Ii. Ndoto.
Mwa 37:1-9.
Iii. Maono.
Ezek 8:1-3.
Iv. Ufunuo.
Uf 1:1-11.
V. Dhamiri
safi au njema, mdo 23:1.
5. NAMNA YA
KUHAKIKI MAJIBU YA MAOMBI
Wamuz 6:14-17
ili uwe na
uhakika na sauti inayo sema na wewe kutoka ulimwengu wa roho, uliza hivi: “ni
nani wewe unayesema nami katika jina la yesu?” Rudia swali hili mara 3, wakati
unahoji juu ya sauti au kiumbe hai kinachosema na wewe wakati huo kutoka
ulimwengu wa roho….. Kama ni ni malaika kutoka mbinguni, atajitambulisha kwako.
Kama ni pepo au shetani atakimbia.
MWINJILIST: LAURENT E. MPOMA
kanisa la "PENTECOSTAL CHRISTIAN CENTER- MISUNA -SINGIDA MJINI
MAWASILIANO: +22763652898
TUMA MAHITAJI HAPA: nguvuyamungu@gmail.com
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼
0 coment�rios: