SOMO KUHUSU MAOMBI
HAPA CHINI▼▼
HAPA CHINI▼▼
1. Maombi ni nini?
Maombi ni
mawasiliano kati ya mungu aliye hai na mmwanadamu, kupitia; sala,shukrani,
maombezi, dua na maombi. 1tim 2:1
kwa ajili
hii ni lazima pawepo na njia mbili, yaani: kuomba, na kujibiwa. Kwahiyo ukiomba
ni lazima ujibiwe.
2. AINA ZA MAOMBI
i. Maombi ya
kufunga.
Ii. Maombi
ya rufaa.
Iii. Maombi
ya utetezi.
Iv. Maombi
ya mapatano.
V. Maombi ya
shukrani.
Vi. Maombi
ya kuteka mateka.
Vii. Maombi
ya vita.
Viii. Maombi
ya kubariki.
Ix. Maombi
ya kulaani.
X. Maombi ya
kunuiza.
Xi. Maombi
ya ulinzi.
Mt 4:1-3,
yosh 1:1-3, zab 35:1-9, hes 6:22-24, 1tim 2:1-4, uf 8:1-5, zab 34:7-9.
>>>>endelea kunifuatilia zaidi hapa>>>"nguvuyamungublog.blogspot.com"
kwa anayehitaji maombezi popote ulipo wasiliana nami.
MWINJILIST: LAURENT E. MPOMA
KANISA: PENTECOSTAL CHRISTIAN CENTRE -MISUNA SINGIDA
PIGA: +255763652896, 782859946
TUMA MAHITAJI HAPA: nguvuyamungu@gmail.com
"MUNGU ANAWEZA YOTE"
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼
0 coment�rios: