KAZI ZA ROHO MTAKATIFU NDANI YETU
HAPA CHINI▼▼
HAPA CHINI▼▼
Tunajifunza
kazi za ROHO MTAKATIFU kwa sababu MUNGU ni Roho na wanaomwabudu yeye imewapasa
kumwabudu katika Roho na kweli (Yohana 4:24).
ROHO
MTAKATIFU hutufanya tuwe na tabia ya kumpenda MUNGU 2 Petro 1:1-3, na pia
1Petro 1:3-5.
Tunampenda
MUNGU na wanadamu maana MUNGU ni pendo.
KAZI ZA ROHO
MTAKATIFU NDANI YETU.
1: Hutufanya tumtukuze MUNGU.
Yohana 16:14
2: Anatuongoza katika kweli yote.
Yohana 16:13.
3: Anatupa uwezo wa kumshuhudia BWANA
YESU.(Anatupa ujasiri na ushujaa)
Yohana 15:26, Yoshua 1:5-7.
4: Hutuombea kwa MUNGU.
Warumi 8:26.
5: Anatufundisha. (yeye ni chuo kikuu kuliko
vyote duniani)
Yohana 14:26.
ROHO MTAKATIFU hufundisha viongozi wote
kuanzia Mitume, Manabii,Maaskofu, Wachungaji, Wainjilisti, Mashemasi na wengine wote.
6: Hutoa matunda kabisa.
Wagalatia 5:18-23
Matunda 9 ya ROHO MTAKATIFU.
I. UPENDO.
II. FURAHA.
III. AMANI.
IV. UVUMILIVU.
V. UTUWEMA.
VI. FADHILI.
VII. UAMINIFU.
VIII. UPOLE.
IX. KIASI.
Pia ndugu
ROHO MTAKATIFU licha ya kutoa matunda 9 pia hutoa na karama 9 ambazo ni muhimu
sana katika kujenga mwili wa KRISTO yaani kanisa. 1 Kor 12:3-11.
Kuna karama
9 za ROHO MTAKATIFU ambazo ni
1: ROHO YA
HEKIMA.
2: NENO LA
MAARIFA.
3: KARAMA YA
IMANI.
5: KARAMA YA
MIUJIZA.
6: KARAMA YA
UNABII.
7:
KUPAMBANUA ROHO.
9: TAFSIRI
ZA LUGHA.
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼
0 coment�rios: