Mungu Anaweza Yote
HAPA CHINI▼▼
HAPA CHINI▼▼
Yote
Yanawezekana
Namshukuru
Mungu kwa kutupa faraja ya maandiko yanayoonyesha kwamba yote yanawezekana
kwake. Leo nimetafuta mistari michache ambayo naamini itaijenga imani yako
ikiwa utaisoma na kuitafakari. Isome, irudie rudie na kuisema ,kisha utaanza
kuona moyoni Mungu anaweza yote.
1. Mwanzo
18:14
Mungu
alionyesha kwa Sara hakuna neno la kumshinda, atapata mtoto.
2.Yeremia
32:27
Mungu
aliuliza kuna neno gani gumu la kumshinda? Kwa wenye mwili.
3.Ayubu 42:2
Ayubu
alimsema Mungu kwamba anaweza yote na makusudi yake hayazuiliki.
4.Mathayo
3:9
Yohana
mbatizaji alionyesha Mungu anao uwezo wa kugeuza mawe yawe watoto wa Ibrahim!
Hii yaonyesha anaweza yote.
5.Warumi
4:21
Ibrahimu
alijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
6.Luka 1:37
Malaika
alisema hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu, akimaanisha, hakuna ahadi ya
Mungu isiyo na nguvu ya kujitimiza au kutimia.
7.Mathayo
19:26
Yesu alisema
yote yawezekana kwa Mungu!
8.Yohana
15:5
Yesu alisema
pasipo yeye hatuwezi lolote, kwa hiyo pamoja naye tunaweza yote.
9.Luka
17:20-21
Yesu alisema
tukiwa na imani kama chembe ya haradali, imani inayokuwa na kusema tunaweza
kuamisha mlima wala hakutakuwa na jambo lisilowezekana kwetu. Imani hii hutokea
katika maombi na kufunga.
10.Marko
9:23
Yesu alisema
yote yawezekana kwa aaminiye, Yote yawezekama kwa mtu aiwekaye imani yake kwa
Mungu awezaye yote, anaanza kuweza kama Mungu awezavyo.
Unaweza
Pamoja na Mungu.
HAPA CHINI▼▼
During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
HAPA CHINI▼▼
0 coment�rios: