II. ASILI INAYOTOKANA NA KABILA ULILOTOKA

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


II. ASILI INAYOTOKANA NA KABILA ULILOTOKA
ezekiel 16:3 “useme bwana mungu auambia yeerusalemu hivi;asili yako na kuzaliwa kwako kwatoka katika nchi ya mkanaani, mwamori alikuwa baba yako, na mama yako alikuwa mhiti”
kila kabila hapa duniani linasumbuliwa na asili fulani chafu ambayo si njema na inawavunjia heshima na kuwaletea aibu. Mfano: wahehe wanatatizo la kujinyonga, wachaga wanatatizo la roho ya wizi, wapare ni ubaili, wasambaa ni umbea, wasukuma wanasumbuliwa na roho ya uchawi, wakurya ni ukatili na kuua , wangoni uchawi na mizimu, wamakonde wanasumbuliwa na roho za ujinga na ushirikina. Shida hii imelitatiza sana taifa hili, taasisi zake, jamii na makanisa.

III. ASILI INAYOTOKANA NA JINSI ULIVYOZALIWA
zaburi 51:5 “ tazama mimi naliumbwa ktk hali ya uovu, mama yangu alinichukuwa mimba hatiani”
zaburi 58:3 “wasio haki wamejitenga tangu kuzaliwa kwao, tangu tumboni wamepotea wakisema uongo”
ni muhimu kujua haya kuwa; mimba yako ilitungwaje?, kulikuwa na tukio gani siku hiyo? Waamuzi 11:1-3. Kama mama yako yuko hai muulize ili ujue namna utakavyo omba ili ujinusuru. Hii ni kwakuwa; yale yaliyotoke siku unazaliwa, yanahusiana na hatma ya maisha yako, nay ale yanayokupata hivi sasa.

IV. ASILI INAYOTOKANA NA TAREHE AU SIKU ULIYOZALIWA
ayubu 3:1-7
tarehe uliyozaliwa imebeba hatma ya maisha yako. Baadhi ya mambo yanayokupata yanahusiana na tarehe au siku uliyozaliwa. Jiulize maswali haya; siku uliyozaliwa ni siku iliyo barikiwa ulimwengu wa roho au la?. Nyota gani ilionekana angani? Mathayo 2:1-2. Nyota yako ina mvuto kiasi gani?,
mathayo2:9-11. Siku hiyo mwezi ulikuwa na umbile gani?...... Nani walikuwepo

V. ASILI INAYOTOKANA NA MADHABAHU ZA KISHETANI NA ZA UKOO
isaya 60:2, “ maana tazama giza litafunika dunia, na giza kuu litafunika kabila za watu……………………….”
Ezekiel 20:30-34.
Giza kuu linalifunika makabila ni mambiko, maagano ya kishetani ktk makabila na ukoo. Vilevile giza kuu ni kuabudu mizimu na kushiriki mambo ya waganga na wachawi. Mambo haya yote yanaleta madhara makubwa ya kiroho na ya kimwili ktk uso wa nchi.
Maombolezo 5:7 “baba zetu walitenda dhami hata hawako, na sisi tumeyachukuwa maovu yao”

adhabu itakayo shambulia kabila au ukoo ulioshiriki matendo haya ya giza ni: laana, magonjwa, vita, ufukara, kutokufanikiwa ktk utumishi, na kudumaa kwa kihuduma.
KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 coment�rios: