VI. ASILI INAYOTOKANA NA TABIA MBAYA

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


VI. ASILI INAYOTOKANA NA TABIA MBAYA
1kor 2:14” mwanadamu ya tabia ya asili hayapokei mambo ya roho wa mungu…….”
Baadhi ya watumishi au waumini wanasumbuliwa na tabia mbaya mbaya kutoakana na asili mbaya ya kishetani iliyo ndani yao. Mfano; tabia ya jeuri, tabia ya ukorofi, kuwa mkali sana, hasira kali sana, na ubishi uliovuka mpaka au kawaida.

VII. ASILI INAYOTOKANA NA MANENO ULIYOTAMKIWA UKIWA TUMBONI.
ezekieli 16:5 “ hapana jicho lililokuhurumia ili kukutendea lolote la mambo hayo kwa kukuhurumia, lakini ulitupwa nje uwandani, kwakuwa nafsi yako ilichukiwa ktk siku ile uliyozaliwa”
maneno uliyotamkiwa siku ile uliyozaliwa, yanahusiana na hatma yako au yale yanayotokea hivi sasa maishani mwako.
Jiulize maswali haya;
a) siku uliyozaliwa wajomba zako walitamka maneno gani?
B) au wakwe zake mama yako walisema nini siku uulizokuwa tumboni?
C) iliposemekana kuwa umezaliwa, watu walifurahi au walichukia?
D) mawifi zake mama yako walikutamkia maneno gani?
Majibu ya maswali haya waweza kuyapata kwa njia ya ufunuo wa roho mtakatifu,fu 1kor 2:10…….. Au fanya utafiti uliize kwa wazazi wako au wakubwa zako walokuwepo siku hizo.

VIII. ASILI INAYOTOKANA NA MAPITO ULIYOPITIA
waamuzi 11:1-4
mapito uliyopitia yanaweza kujenga usugu fulani, na kuamsha asili fulani ya kishetani ndani yako na kuleta maadhara fulani. Mfano:
i. Mateso: yanaathiri mfumo wa akili na saikolojia.
Ii. Kuvuta bangi: akili inaharibika.
Iii. Ulevi: unaleta ufukara na upumbavu.
Isaya 55:6 “mtafuteni bwana maadam anapatikana, mwiteni maadam yu karibu”….
Sasa , kumtafuta mungu aliye hai, inamaana yuko umbali fulani, ulimwengu wa roho. Ni lazima ujue kanuni na maarifa ya kuutafuta uso wa bwana…
anaposema “mwiteni bwana”, maana yake ni kusema; yuko sehemu au mahali fulani, mahali mbapo ukimlilia na kuliitia jina lake, atakusikia… hii nayo yataka ufahamu wa ki-mungu wa kukusaidia kujua namna ya kumwita mungu aliye hai

Math 7:7 "ombeni,nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa"

1.maombi ni kutafuta,kubisha hodi kwa mungu.luka 18:1 "akawaambia mfano,ya kwamba imewapasa kumwomba mungu sikuzote wala wasikatetamaa"

2.maombi ni kumwendea mungu
ebr 11:6b "kwa maana mtu amwendeaye mungu lazima aamini kwamba yeye yuko,na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao"

3.maombi ni kuzungumza na mungu isaya 1:18 "haya njoni tusemezane,asema bwana wa majeshi,


4.maombi ni kuweka wazi haja/mahitaji yetu mbele za mungu ,filip 4:6 "msijisumbue kwa neno lolote,bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru haja zenu na zijulikane na mungu"

5.maombi ni ibada mbele za mungu..mdo 13:2 "basi hawa walipokuwa wakimfanyia bwana ibada na kufunga,roho mtakatifu akasema,

6.maombi ni kupigana vita vya kiroho,efeso 6:18 "kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika roho,mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu"

7.maombi ni kutulia na mungu isaya 30:15 "kwa maana bwana mungu asema hivi,kwa kurudi na kustarehe mtaokolewa,nguvu zenu zitakuwa katika kutulia na kumtumaini lakini hamkukubali"

KWANINI YATUPASA KUOMBA?? MATH 7.7
 1..tunaomba ili tupewe haja zetu, "ombeni nanyi mtapewa",tena neno la mungu linasema wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi,yakobo 4:2 "mwatamani wala hamna kitu,mwaua na kuona wivu,wala hamwezi kupata,mwafanya vita na kupigana,wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi"
2.ni agizo kutoka kwa yesu..luka 18:1 "akawaambia mfano,ya kwamba imewapasa kumwomba mungu siku zote,wala wasikate tamaa"
1thes 5:17 "ombeni bila kukoma"

3.kwa sababu kuomba ni huduma..huponya taifa,familia,kanisa na watu wanaponywa magonjwa na shida zao na kazi yake jehova hufanikiwa
2nyak 7:14 "ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu,watajinyenyekesha,na kuomba na kunitafuta uso na kuziacha njia zao mbaya basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao"

4. Isaya 59:16 "akaona ya kuwa hapana mtu,akastaajabu kwa kuwa hapana mwombezi basi mkono wake mwenyewe ndio uliomletea wokovu na haki yake ndiyo iliyomsaidia"
yak 5:14-16 "mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa nao wamwombee na kumpaka mafuta kwa jina la bwana na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule na bwana
Atamwinua hata ikiwa amefanya dhambi atasamehewa ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi,na kuombeana mpate kuponywa,kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana akiomba kwa bidii"

5..kwa sababu ya kujenga mahusiano yetu karibu na mungu
yak 4:8 "mkaribieni mungu naye atawakaribia ninyi,itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi na kuisafisha mioyo yenu,enye wenye nia mbili"

6..kwa kuwa mungu ni baba na sisi ni watoto wake,yatupasa kumwomba haki zetu tukiwa kama watoto..
Math 6:9 "basi ninyi salini hivi,baba yetu uliye mbinguni,jina lako litukuzwe,ufalme wako uje"

MAISHA YA MAOMBI KWA MKRISTO (1)
Wako wakristo ambao tunashindwa kuwa na maisha ya maombi kwa sababu zifuatazo.
(1) kukosa muda wa kuomba kwa sababu ya majukumu ya muhimu ya hapa na pale.
(2) mazingira ya mtu anapoishi.
(3) mwingine hajui faida za maombi wala umuhimu wake.
(4) mwingine anasema huwa anaishiwa maneno kwa haraka anapokuwa kwenye maombi.
(5) mwingine hapendi maombi tu!
(6) shetani.
(7) mwili.

KATIKA MAOMBI KUNA VIKWAZO VINGI, KWA SABABU MAOMBI YANA NGUVU!
(a) maombi yanaongeza uhusiano wa mtu na mungu!
Maombi ni mawasiliano baina ya mwanadamu na mungu au ni njia ambayo tunaweza kuwasiliana na mungu. Tunafanya mawasiliano na mungu kwa njia ya maombi, na kama tunavyojua kwamba! Mawasiliano yanaongeza uhusiano wa mtu na mtu, hata wewe ni shahidi katika hili! Unaweza ukawa na ndugu wengi sana au marafiki wengi sana n.k. Lakini yule ambaye atawasiliana na wewe mara kwa mara huyo ndiye anayeukuza ukaribu kupita wengine. Na pia uhusiano wa mtu unaanzishwa kwa mawasiliano na vilevile unaweza ukafa au kupungua kwa kukosa mawasiliano ya mara kwa mara na kuelekezwa kule kwenye mawasiliano ya mara kwa mara! Mawasiliano yamewafanya watu wengi kuwa karibu, kupitia mitandao yetu. Mtu alipoanza mawasilano na wewe kwa njia ya kukutumia ujumbe wa maandishi au wa picha ulipojibu! Mawasilano yakakua mwisho wake ukaribu ukaongezeka kati yako na huyo….

Tunapokuwa tunaomba mara kwa mara uhusiano wetu na mungu unakuwa kwa kasi sana kuzidi yule asiyeomba, au yule anayeomba mara moja moja au yule anayeomba kwa viwango vya juu zaidi! Na kama tujuavyo, kadiri uhusiano wa mtu na mtu unavyokuwa na kuongekezeka ndivyo wanavyoweza kushirikishana mambo mengi saaaana!

Ndivyo inavyokuwa kwa mungu kwetu! Kwa sababu mahusiano yetu yanakuwa na kuongezeka! Mungu hataacha kutushirikisha mambo mengi yanayoendelea ili kuyaombea au kuzuia yasitokee au kuwashauri watu n.k. Mungu atatuonyesha hata hatari iliyopo mbele yetu, kwamba! Kuna ajali mbaya itatokea na kusababisha hiki na hiki na jinsi ya kuikwepa n.k. Yakiambatana na maelekezo yake jinsi ya kufanya ambayo yatakuwa na lengo la kujenga na si kubomoa! Utakuwa na furaha na amani wakati woote hata kwenye dhiki za namna gani! Sijui nitumie lugha gani nieleweke jamani: ili uelewe hili na kulishika kwamba! Maombi yanaongeza uhusiano wa mtu na mungu!


Tuanze maisha ya maombi kuanzia sasa ili uhusiano wetu na mungu ukue, anzisha mahusiano yako na mungu kwa kuwasiliana naye mara kwa mara kwa njia ya maombi. Hata kama zamani tulikuwa na bidii ya kuwasiliana na mungu kwa njia ya maombi halafu tukayakata mawasilano hayo! Bado tunaweza kuyaanzisha upya na kuyakuza! Pia usiache kuwasiliana na mungu mara kwa mara kwa njia ya maombi kwa sababu kwa kutofanya hivyo utauvunja au utaupunguza uhusianao wako na mungu!
KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 coment�rios: