Kwa nini tuombe?

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼






Kwa nini tuombe?
Kwa mkristo, maombi ni kama kupumua. Ni rahisi kufanya kuliko kutofanya. Tunaomba kwa ajili ya sababu mbalimbali. Kwa sababu moja maombi ni njia ya kumtumikia mungu (luka 2:36-38) na kumtii. Tunaomba kwa sababu mungu anatuamuru kuomba (wafilipi 4:6-7). Maombi yamedhihirishwa kwetu na yesu pamoja na kanisa la kwanza (mariko 1:35; matendo ya mitume 1: 14; 3:1; 4: 23-31; 6:4; 13:1-3). Kama yesu aliehesabu kuwa maombi ni kitu cha maana, pia nasi lazima. Kama aliitajika kuomba ili asalie katika mapenzi ya baba yake, je tunahitajika kuomba kiazi gani?

Sababu nyingine ya kuomba ni kuwa mungu anataka maombi yawe njia kupata suluhisho lake kwa hali zetu. Tunaomba tukijiandaa kufanya maamuzi muimu (luka 6:12-13); ilitushinde vizuizi vya shetani (mathayo 17:14-21); kukusanya wafanyi kazi kwa sababu ya mavuno ya kiroho (luka 10: 2); kupata nguvu ili tuyashinde majaribu (mathayo 26:41); na kupata njia ya kuwatia wengine nguvu kiroho (waefeso 6:18-19).

Tunakuja kwa mungu katika mahitaji yetu kamili, na tuko na ahadi ya mungu kwamba maombi yetu si ya bure, hata kama hatupati chenye tunauliza (mathayo 6:6; warumi 8:26-27). Ameahidi kuwa tunapouliza vitu ambavyo viko katika mapenzi yake, atatupa chochote tuitizacho (1 yohana 5: 14-15). Wakati mwingine anakawisha majibu yake kulingana na hekima yake kwa manufaa yetu. Katika hali hii tunastahili kuwa makini na kudumu katika maombi (mathayo 7:7; luka 18:1-8). Maombi yasionekane kama njia zetu za kumfanya mungu kutenda mapenzi yetu duniani, bali iwe ni njia ya mungu kutenda mapenzi yake duniani. Hekima ya mungu inapita hekima yetu.

Kwa hali ambazo hatuwezi jua mapenzi ya mungu kamili, maombi ni njia ya kutambua mapenzi yake. Ikiwa mwanamke myunani aliyekuwa na binti aliyepagagwa na mapepo angeponywa (mariko 7:26-30). Ikiwa kibofu nche ya yeriko angemwita kristo kwa sauti, angebaki kibofu (luka 18: 35-43). Mungu amesema kuwa kila mara tunaenda bila kwa sababu hatuulizi (yakobo 4:2). Kwa njia nyingine maombi ni kama kushiriki injili na watu. Hatujui ni nani ataitikia ujumbe wa injili hadi pale tunapoishiriki. Kwa njia hiyo hiyo, hatuwezi kuyaona matunda ya maombi yakijibiwa hadi tuombe.

Ukusefu wa maombi yaonyesha ukosefu wa imani na ukosefu wa imani katika neno la mungu. Tunaomba ili tuonyeshe imani yetu kwa mungu, kuwa atatenda vile ameahidi katika neno lake na kubariki maisha yetu utele zaidi ya vile tumeuliza na kutumainia (waefeso 3:20). Maombi ni njia ya kuona kazi ya mungu katika maisha ya wengine. Kwa sababu ni njia yetu ya “kujitupa ndani” ya nguvu za mungu, ni njia yetu ya kumshinda shetani na jeshi lake ambalo hatuna nguvu za kulishinda sisi wenyewe. Kwa hivyo mungu anatupata kila mara mbele ya kiti chake cha enzi, kwa vile tuko nakuani mkuu mbinguni anayeweza jua yote amboyo tunayapitia (waebrania 4:15-16). Tuko na ahadi yake kuwa maombi ya mwenye haki yatatenda mengi (yakobo 5:16-18). Na mungu atukuze jina lake katika maisha yetu tunapomwamini na kukuja kwake kila mara katika maombi.

AINA ZA MAOMBI YA KUFUNGA
Tunapofunga na kuomba tunayatafuta mapenzi ya mungu katika jambo fulani. Bwana yesu alitufundisha kuomba na akasema tuombapo tuombe ya kwamba “mapenzi ya mungu yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni” #mathayo 6:10. Kwa hyo kusudi la kufunga na kuomba ni kuyatimiza mapenzi ya mungu hapa duniani kama huko mbinguni! Kuyatimiza mapenzi katika hayo tunayoutafuta uso wa mungu.
Kufunga na kuomba hakumfanyi mungu ayabadilishe mapenzi yake. Hatufungi kuwaonyesha wanadamu ya kwamba sisi ni wa kiroho sana. Kwamba labda twamjua mungu sana. Hapana. Tunayatafuta mapenzi ya mungu maishani mwetu. Haijalishi umeokoka miaka mingi ilopita au hivi karibuni.
Tukumbuke maneno ambayo mungu aliyasema ktk 2nyak 7:14 “ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao”
kwa kufunga na kuomba tunamruhusu roho mtakatifu azihuishe nafsi zetu na kutufanya tuweze kusikia sauti ya mungu na kumtii katika maisha yetu.

KWA UJUMLA TUNAFUNGA ILI:
• kuna watu wanafunga kwa sababu za kimwili kabisa. Kwamba miili yao imefika wakati inawapa shida. Matamanio ya mwili yameshindwa kuwasiliana vizuri na roho. Kuna nyakati tamaa za mwili zinakuwa kubwa na hivyo kwa kufunga na kuomba waweza kuutiisha mwili huu. Kwa vijana hasa, vyakula na vinywaji tunavyokula vinaleta shida wakati mwingine ndani ya mwili. Kwa kufunga unautiisha mwili na kuzinyamazisha tamaa hizo. Wengine wanafunga kwa ajili ya kuyatiisha mawazo. Bwana yesu akasema mawazo ndiyo yamtiayo mtu unajisi. Kabla mtu hajafanya uasi fulani huanza kujichafua katika mawazo yake. Ndani ya mawazo yake ataua, atamtukana mtu, atazini, ataiba yani atafanya kila lililo baya kabla hajalifanya katika ulimwengu wa kimwili. Rafiki yangu mmoja akasema ikiwa mwanadamu anaweza kupangilia mipango mbali mbali miovu hadi akaitimiza kwa nn asiweze kufanya hivyo hivyo kwa ajili ya mungu? Kwa hyo wakati mwingine mtu anafunga kuyatiisha mawazo machafu ndani yake. Mawazo machafu hututia unajisi! Ndo maana mtume paulo akasema “basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha mungu” 2kor 7:1
• lakini kiroho tunafunga ili kuweka mahusiano yetu na mungu vizuri rohoni. Ezra 8:21-23
“ndipo nikaamuru kufunga, hapo penye mto ahava, ili tupate kujinyenyekeza mbele za mungu, na kutafuta kwake njia iliyonyoka, kwa ajili yetu sisi wenyewe, na kwa ajili ya watoto wetu, na kwa mali yetu yote.

AINA YA MIFUNGO:
1. MFUNGO KAMILI
katika mfungo huu hakuna kula kabisa chakula kigumu bali waweza kunywa maji au kimiminika chochote cha kukusupport.
Siku ngapi waweza kufunga mfungo wa aina hii unategemea na neema na malengo yako katika mfungo huo. Wengine huenda siku moja, mbili, tatu, wiki, n.k n.k

2. MFUNGO NUSU
mfungo nusu huanzia saa 12 asbh hadi saa 9 mchana au kuanzia jua linapoibuka hadi linapozama. Mfungo ambao madhehebu mengine wamewazoeza waumini wao kuufanya. Wengine wameweza kuufanya kila ijumaa. Madhehebu ambayo yamewazoesha watu wao kufunga angalau kila wiki mara moja wameweza kuwa na mafanikio makubwa sana katika kuzifungua nira na vifungo mbali mbali

3. MFUNGO WA DANIEL
daniel alifunga mifungo miwili ya aina yake;
• katika sura ya i daniel alifunga alikula mboga mboga tu (yaweza kuwa alikula mboga mboga na juisi fulani fulani)
• katika sura ya 10 daniel alifunga kwa siku 21 kwa kutokula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwake”

MAOMBI KWAAJILI YA WAGONJWA.
Bwana yesu ninakushukuru kwaajili ya majira na muda huu ambao umenipa kibali kwaajili ya kuombea wagonjwa. Nakushukuru sana mungu wetu kwani wewe ni mwuumbaji wetu. Mungu ulituumba kwa mfano wako na kwa sura yako. Nakushukuru mungu. Asante kwa mamlaka ambayo umetupati wanao kwa damu yako takatifu iliyomwagika msalabani. Asante kwani ulisema tutaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapata afya. Asante mungu kwani wewe si mwanadamu hata useme uongo.nakuja kwako muda huu kwa unyenyekevu mkuu nikiomba toba kwaajili ya wagonjwa wote. Natubu kwaajili yao bila kujali kuwa magonjwa waliyonayo ni matokeo ya dhambi ipi. Haijalishi iwe ni matokeo ya zinaa,kukiuka kanuni za uumbaji,uchafu,uchawi,uganga au ushirikina natubu mungu wangu. Najua wewe ni mungu wa rehema naam utatusamehe. Natubu kwakutokuamini kwetu naomba utusamehe mungu wetu. Umesema nami ktk neno lako la zaburi 103:3 kuwa akusamehe maovu yako yote,akuponye magonjwa yako yote.ndivyo hivyo mungu leo tenda kwa wagonjwa wote. Haijalishi ni ugonjwa gani mtumishi wako anasumbuliw,haijalishi taarifa ya daktari inasemaje juu ya ugonjwa wake,haijalishi wauguzi wake wamemtishaje na wala haisumbui kuwa dawa zake hazipo duniani kote lakini ninachojua kuwa upo wewe yesu usiyeshindwa jambo. Ktk jina la yesu kristo naachilia uponyaji wa mama yule,baba yule,kijana yule,mtoto yule na wana wa kike kwa wa kiume.pokea uponyaji ktk jina la yesu kristo. Naharibu makao yote ya shetani ndani yako ktk jina la yesu. Nang'oa kila pando lisilotokana na mungu ndani yako sasa ktk jina la yesu kristo. Nafuta maneno yote machafu yaliyosemwa kinyume nawe naam napanda maneno ya kristo ndani yako sasa. Sikia hii ripor ya daktari imesema una ukimwi nami kwa mamlaka ya yesu kristo naifuta riport hiyo naninatangaza riport ya yesu kuwa huna ukimwi tena ktk jina la yesu kristo. Daktari kakuandikia kuwa poor prognosis yaani unakufa nami leo nakuandikia ktk jina la yesu kuwa huta kufa bali utaishi na utasimulia ukuu wa mungu. Ktk jina la yesu natangaza uponyaji kwa kila mgonjwa au ndugu wa mgonjwa aliyesoma sala hii kwa imani. Umekuwa mzima ktk jina la yesu kristo mwana wa mungu. Amina..

Kama una mgonjwa hajiwezi au yupo mbali nawe basi soma sala hii kwa imani kisha ukimaliza mpigie mwambie anywe au anyweshwe maji kidogo kwenye glass na mara atapokea uponyaji ktk jina la yesu. Na wale wenye virusi vya ukimwi baada ya sala hii wakae siku saba alafu wakapime virusi naam wataona mungu atakavyo washangaza. Mrudishie mungu sifa na utukufu kwani yeye ndiye afanyaye

NAMNA YA KUMWITA,KWENDA NA KUMUOMBA MUNGU ILI AKUSIKILIZE.
.yeremia 29:12 “nanyi mtaniita,mtakwenda na kuniomba,nami nitawasikiliza”.
Watu wengi wamekuwa wakitamani maombi wanayoyapeleka mbele za mungu kusikilizwa.watu wanaomba kila aina ya maombi inayowezakana maadam mungu asikie na kuwaokoa kutoka kwenye shida waliyonayo au kuwapa haja za mioyo sawasawa na uhitaji wao.

Wapo wanaoomba na wanaona majibu yao yanajibiwa lakini pia lipo kundi jingine kubwa ambalo wanaona kama vile mungu amenyamaza,amewaacha,hawasikii, au wanajiona kama vile mungu amewakataa na kuziona ahadi za mungu kwamba si za kweli na mbaya zaidi wengine wamefika mahali pa kumwacha mungu kwa sababu ya kushindwa kuvumilia majibu kutoka kwa mungu na hivyo kutafuta njia mbadala za kutatua matatizo yao.wapo walioomba kuhusu watoto,ndoa zao,afya zao,ajira,biashara,elimu zao nk. Walipoona katika fahamu zao mungu hajibu basi wakaamua kwenda kwa waganga wa kienyeji,wachawi na kwa miungu mingine kutafuta msaada huko.

Sasa ili mungu aweze kusikiliza au kujibu maombi yako huenda kuna mambo mengi ya msingi ambayo mwombaji anapaswa kuyajua na kuyatendea kazi.sasa baada ya kuona maombi mengi ninayoomba na pia ambayo wana wa mungu pia wanaomba hayajibiwi ili nilazimu nimuombe mungu anifundishe vizuri kuhusu hili neno.
Hivyo hayo ninayoenda kukushirikisha ni sehemu ya yale ambayo mungu amekua akifundisha naamini na wewe yatakusaidia maana nimeona yakinisaidia binafsi pamoja na wale ambao mungu amenipa kuwafundisha kwa njia nyingine.

Lengo la ujumbe huu ni kukupa maarifa yatakayokusaidia kuomba maombi ambayo wewe mwenyewe.pindi unapoomba utakua na uhakika mungu anakusikiliza kwa wakati  huo.zaidi ujumbe huu umekusudia kukufundisha namna unavyoweza ukapeleka maombi mbele za mungu.

Siku moja nikiwa chuoni mwaka wa kwanza majira ya tisa jioni,nilikua nikipandisha ngazi kuelekea chumbani kwangu ambacho kilikua ghorofa ya tatu juu kabisa.wakati naanza kupandisha zile ngazi nikasikia mtu ananiuliza ndani yangu je hivi mungu huwa anaitwaje?anaendwaje?anatafutajwe?anakaribiwaje? Nilipofika chumbani nikaanza kutafakari haya maswali na baadae ndipo nikapata hii mistari katika yeremia 29:12-13 inayosema “nanyi mtaniita,mtakwenda na kuniomba,nami nitawasikiliza. nanyi mtanifuata na kuniona,mtakaponifuata kwa moyo wenu wote.”Baada ya kuisoma vizuri ndio nikagundua karibu maswali yale yote yalitoka hapa.

Mungu anasema nanyi mtaniita, sasa na mimi nikuulize swali, hivi umeshawahi kujiuliza mungu tunamwitajemwitaje? Tunamwendeaje? Na tunamtafutaje. Usiishie kusema mungu ameseam nikaribieni nami nitawakaribia, umneshawahi kujiuliza anaposema tumkaribie yeye yuko wapi? Na pia tunamkaribia kwa namna gani? Sasa hayo ndio maswali yaliokuwa yakinijia.

Picha ambayo mungu alitaka niipate kwenye zile ngazi ni hii, nifikirie kwamba kile chumba kule juu ndiko aliko yeye yaani mbinguni. Sasa baada ya kufikiria hivyo ndio niwaze na nijiulize amesema nimuite nimwendee nimtafute n.k sasa hivi ndio ninamwitaje, ninamwendeaje na ninamtafutaje? Nilipozidi kutafakari hiyo mistari roho mtakatifu akanifundisha yafuatayo:

Kwanza alinionyesha makosa matatu ambayo watoto wake mara nyingi tumekuwa tukiyafanya wakati wa maombi. Na ningependa na wewe uyajue kwa maana itakusaidia ili bado unayafanya basi usiyafanye tena.

KOSA LA KWANZA, KUOMBA KINYUME AU NJE YA MAPENZI YA MUNGU.
1 yohana 5:14 inasema na huu ndio ujasiri tulionao kwake ,ya kuwa,tukiomba kitu sawa na mapenzi yake atusikia” moja ya tafsiri za kiingereza inasema “we are certain that god will hear our prayers when we ask for what pleases him” kosa kubwa ambalo tumekuwa tukilifanya mara nyingi ni kuomba vitu au mambo ambayo ni kinyume na mapenzi ya mungu.
Anaposema sawasawa na mapenzi ya mungu maana yake ni lazima ujue kwanza nini ni mtazamo au mawazo ya mungu juu ya hilo unalotaka kuliombea.maombi ni kuzungumza au kusemezana na mungu kwa kumwambia yale ambayo amesema kwenye neno lake kuhusu haja zako wewe.
Kwa lugha nyingine usiombe kitu ambacho hujui nini mawazo ya mungu juu ya hicho kitu. Mawazo ya mungu juu ya kila haja ujyonayo yako ndani ya neno lake .hivyo ni lazima neno la mungu likae kwa wingi ndani yako ili unapoomba uombe kulingana na ahadi zake na pia sawa na kile alichokisema.
Zaidi pia wengi wanapotaka kuomba huenda kuhusu ndoa,kanisa,ajira,watoto ,biashara nk huwa wanomba kimazaoea. Maana yake ni hii wengi wamezoea ninpoombea ndoa nitaombea amani,upendo ,furaha nk sasa sina maana hayo maombi hayafai ila ninachotaka ukipate ni hiki hoja unazozipeleka mbinguni hakikisha umefunuliwa na mungu mwenyewe.maana yake mungu ndiye akupe mambo ya kuombea kuhusu nchi ,ndoa,biashara yako nk.

KOSA LA PILI:, KUKOSA UTULIVU NA USKIVU WA ROHONI WAKATI WA MAOMBI NA BAADA YA MAOMBI.
Sikiliza mungu anayo mambo mengi ya kukuambia wewe kuliko yaje wewe uliyonayo wewe kumweleza yeye. Chungu hakiwezi kumwambia mfinyanzi kwamba ulinumba kwa kazi hii tu, bali mfmyazi ndiye mwenye mengi kuhusu kile chungu.
Ndio maana yesu anasema si ninyi mlionichagua mimi bali ni mimi niliyewachagua njnyi (yohana 15:16),sasa watu wengi sana wana bidii nzuri ya maombi wanaweza wakakaa hata masaa matatu mfululizo na hata zaidi wanamuomba mungu tu.
Katika mda huu wote wao ndio wanaojieleza na mara wanapomaliza ni kusema ameni na kuondoka.hii ni picha ya mtoto anayekuja kwako kama mzazi anasema baba/mama naomba hela ya daftari, nauli na ya kula shuleni, pia naomba uninunulie suruali nk. Sasa kabla wewe hujamjibu yeye ameshafungua mlango na kuondoka.sasa kibiblia ndiko kunaitwa kukosa utulivu na usikivu wa rohoni mbele za mungu.
Mara zote unapoomba jifunze kuwa na wakati wa kutulia kusikiliza mungu naye anasema nini.kwenye utulivu ndiko mungu anakosema sio kwenye kelele maana anjua hamwezi kusikilizana.soma isamwel 3:1-10 utaelewa ninachokisema hapa.mungu alisema na samweli alipotulia.

KOSA LA TATU, KUMUOMBA MUNGU WAKATI TAYARI UMESHAJITAFUTIAJIBU LA SHIDA ULIYO NAYO.
Hili ni kosa jingine kubwa ambalo wana wa mungu wamekuwa wakilifanya. Wengi wana mahitaji mbalimbali.wapo watu wengi ambao kweli wanaomba kwa kumaanisha mbele za mungu na wengine hata kufunga kwa masaa mengi lakini tatizo lao katika fahamu zao wameshafanya uamuzi wa nini watafanya baada ya maombi yao.sasa hata mungu akikushirikisha mawazo yake si rahisi ukamwelewa kwa sababu tayari kwenye nafsi na ufahamu wako kuna jibu na biblia inasema aonavyo mtu katika nafsi yake ndivyo alivyo.
Sambamba na hilo, kosa linalofanana na hili ni wale watu wanaomwomba mungu afanye kama vile wao waonavyo kataka nafsi zao. Yaani wanamtaka mungu akubaliane na mawazo yao na njia zao juu ya shida au haja walizo nazo wao wenyewe.
Na jambo hili tunalielewa vizuri tunaposoma katika kitabu cha luka 9:12 -17 .habari za wanafunzi wa yesu pindi njaa ilipokuwa ikiwauma watu wakati yesu anaendelea na mkutano. Wao walimwambia bwana waage watu wakajijinunulie chakula vijijini na mashambani, wao walidhani hili ndilo jibu la njaa ya watu. Hawakufikiri kwamba sio wote wenye pesa za kununua chakula, kuwaaga watu kungemaanisha yesu aache kufundisha nk. Sasa jibu la njaa ya wale watu halikuwa kama wanafunzi walivyowaza na walivyotaka bali jibu lilikuwa kwa yesu kufanya muujiza wa kubariki mikate mitano na samaki wawili vitosheleze watu wote 5000.
Sasa baada ya kuwa tumeona hayo makosa makubwa matatu tuangalie mungu anaposema nanyi mtaniita,mtakwenda na kuniomba,nami nitawasikiliza ana maana gani?.
Katika mstari huu kuna mambo makubwa matatu yamezungumziwa.

MOJA NI MTANIITA,MBIII MTAKWENDA NA KUNIOMBA, TATU NI NAMI NITAWASIKILIZA.
JAMBO LA KWANZA NI ,MTANIITA.
Ukisoma kitabu cha yeremia 33:3 anasema “niite,nami nitakuitikia ,nami nitakuonyesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua. Mungu ansema utakapomwita yeye atafanya mambo mawili.moja atakuitikia na mbili atakuoyesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua.
Maana yake ni hii, kukuonyesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua ni kukufunulia mambo ambayo ulikuwa huyajui katika lile ulilomuita.hivyo basi kumuita mungu ni kumuomba au kumtaka mungu akufunulie mambo makubwa na magumu usiyoyajua kuhusu shida au hitaji au haja uliyonayo mbele zake.mfano unamuita mungu akufunulie ndoa yako jinsi ilivyo, nini kinaendelea usichokijua, nini ukiombee, nini hakijakaa sawasawa kwenye hiyo ndoa k.

 hivyo basi unapotaka kuomba juu ya jambo lolote lile ni vizuri kwanza ukamuita mungu juu ya hilo jambo.maana yake muombe mungu akupe picha kamili ya hilo unalotaka kuliombea,akufunulie jinsi lilivyo ili ujue uanzie wapi kuomba.,kama ni ndoa,nchi,mke au mme mtarajiwa,huduma yako nk.
KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 coment�rios: