MAISHA YA MAOMBIKWA MKRISTO (PART 4)

KUTAZAMA VIDEO YAKE BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


PICHA ZAKE ZOTE AKIWA MTUPU BONYEZA
HAPA CHINI▼▼


MAISHA YA MAOMBIKWA MKRISTO (PART 4)
(d) maombi yanatupa nguvu ya kutoingia majaribuni!
Yesu aliwawaambia wanafunzi wake maneno haya kwa uzito sana baada ya kuona wanafunzi hawana maisha ya maombi! Walikuwa wanafikiri jukumu la kuomba ni la yesu tu! Kama sisi tunavyofikiri sasa, kwamba jukumu la kuomba ni la watu fulani tu, na si la kwetu! Kila mahali ambapo yesu alikuwa anaomba wanafunzi wake ambao leo tunawatambua kama mitume! Walikuwa hawana maisha ya maombi. Angalia hapa luka 9:28-32,

“baada ya maneno hayo yapata saa nane, akawatwaa petro na yohana na yakobo, akapanda mlimani ili kuomba (hilo ndio lilikuwa lengo lakini angalia matokeo yake).ikawa katika kusali kwake sura ya uso wake ikageuka….”. (hapa yesu anaomba peke yake wale aliopanda nao walishamwacha walikuwa na usingizi). Petro na wale waliokuwa pamoja naye walikuwa wamelemewa na usingizi:lakini walipokwisha amka…”
Inaonyesha wazi walikuwa wamelala wakati yesu anaomba! Walikuwa wanaona shida kuomba kama sisi tunavyoona shida! Lakini tatizo lilikuwa linajirudia tena na tena kwa wanafunzi mpaka ikabidi yesu awaambie madhara ya kutokuwa na maisha ya maombi! Hapa lilikuwa tukio jingine sio lile la mlimani! Mathayo 26:40-41,

“akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia petro, je! Hamkuweza kukesha nami hata saa moja?.kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni.”
Sio toeni sadaka ili msiingie majaribuni, sio hubirini sana ili msiingie majaribuni, hapa yanatajwa maombi pekee. Kinyume chake hatutaweza kukabiliana na majaribu, tutashindwa bila shaka. Maombi ndio yananifanya mimi na wewe kutoingia majaribuni, majaribu yamejaa kila kona katika dunia ya leo, lakini tutawezaje kuyashinda kama hatuna maisha ya maombi? Hatutaweza kamwe! Kamwe! Yesu akishasema amesema! Mtu yeyote ambaye hana maisha ya maombi ana maisha ya kuingia majaribuni! Mtu ambaye kuomba anaona shida; mtu huyo haina haja ya kupeleleza maisha yake. Jibu lake linajulikana ni mtu wa kuingia majaribuni na matokeo yake anajikuta anaishi maisha ya unafiki! Anaonekana anahubiri na kufundisha, anaoneka anapost vitu vya kutia moyo, anaonekana anaombea watu, lakini maisha yake ni ya kujilaumu wakati wote hana uwezo wa kushinda majaribu. Ndugu yangu hata kama sisi tunajiita mtume nabii hata kama! Hata kama tunajulikana vipi kiuimbaji na kukubalika katika nyimbo za injili, sifa na kuabudu, kama hatuna maisha ya maombi majaribu yakija lazima tutaingia majaribuni! Hatutaweza kushinda hata siku moja! Leo tunaweza tukajipiga piga vifua kama petro,na kusema, “mimi nimuache yesu”. Ukisalimiwa “mambo”, unajibu “mambo kwa yesu”. Misimamo hiyo kama huna maisha ya maombi lazima siku moja utaingia majaribuni tu! Misimamo bila maombi! Hakuna matokeo ya ushindi.

Namkumbuka binti mmoja ambaye alikuwa ameokoka! Binti huyu tulikuwa tunaishi naye jirani! Binti alikuwa na misimamo ya hatari sana! Ilikuwa tukimsalimia “mambo?”. Aanajibu “mambo kwa yesu.” Alikuwa hajibu kwa mizaha! Alikuwa hataki mchezo mchezo ukizingatia pia kwao pesa zipo na wakati huo yupo kidato cha tatu! Mimi wakati huo nilikuwa mbali na ufalme wa mungu! Misimamo ya binti huyu haikudumu kwa sababu hakuwa na maisha ya maombi! Akaangukia kwa muuza mitumba na uwokovu akauacha! Akakataa shule wakati huo tayari ameshaanguka tayari; wakati hilo halijaisha vizuri mimba ikaingia akamwacha yesu! Misimamo bila maisha ya maombi ninakuambia waziwazi wewe binti ambaye unajulikana shuleni kwako unaposoma, chuoni kwako au kazini kwako, bila maisha ya maombi unaweza kujikuta unaanguka mahali usipoptarajia.
Yesu alimwambia petro waziwazi katika mathayo 26:34-35, “…yesu akamwambia, ‘amin, nakuambia wewe, usiku huu kabla ya kuwika jogoo, utanikana mara tatu. Petro akamwambia, ‘ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kamwe.’”

Petro anajigamba wakati hana maisha ya maombi; muda wa maombi yeye anasinzia, na ndivyo ilivyokuwa, alimkana yesu kwa kiapo na alisema mathayo 26:69-74, “ndipo alipoanza kulaani na kuapa na kusema, simjui mtu huyu.” Unaona, anasema “mtu huyu.”  Wakati petro alikuwa ananyenyekea kwa bwana! Alikuwa anamuita yesu bwana! Lakini hapa anasema “mtu huyu “. Ndivyo ilivyowatokea wengine ambao walipuuza maombi, leo ukiwaona utashangaa! Unajiuliza huyu si alikuwa moto wa kuhubiri, kuomba, kutoa, kuimba n.k.! Peleleza maisha yake kabla, utakuja gundua alikuwa hana maisha ya maombi! Na ndivyo itakavyotokea kwetu kama hatutakuwa na maisha ya maombi, ninakuambia wazi kabisa utashindwa tu!

Ndugu yangu omba! Omba! Omba! Ndani ya maombi ndio kuna nguvu ya kutuwezesha kushinda ushawishi huu uliotanda kila kona katika dunia, kila siku inafunguliwa mitandao mipya ya kuturahisishia kufanya mambo mema na hapohapo ya kuturahishia kuingia majaribuni! Tutawezaje kushinda vishawishi kama hatuna maisha ya maombi? Tutajikuta tunaishi maisha ya unafiki na mwisho ya siku tutamwita yesu “mtu ” badala ya “bwana” kama ilivyotokea kwa petro! Tusipoomba kuingia majaribuni sio jambo la kutafuta! Mtu yeyote ambaye hana maisha ya maombi, mtu huyo hawezi kujizuia katika majaribu, kama sivyo yesu tunamfanya yesu kuwa ni muongo, na kamwe yesu hawezi kuwa muongo!


Nb: maombi ni kwa faida yetu wenyewe, tukiacha kuomba kwa sababu zozote kumkana yesu kuko karibu! Omba! Omba! Omba!
KWA NAFASI ZA KAZI POPOTE TANZANIA, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip. During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
[3.00 MB]VIDEO YA ALIKIBA AKIBANDUANA NA JOKATE, BONYEZA
HAPA CHINI▼▼



0 coment�rios: